Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda kizungumza katika hafla fupi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kumuaga Waziri Mkuu, Mizengo Pinda iliyofanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijjni Dar es salaam Oktoba 16, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakigonganisha glass na Watendaji wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu katika Hafla fupi ya kumuaga aliyoandaliwana watumishi wa Ofisi yake kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Oktoba 16, 2015. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Florens Turuka, kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Regina Kikuli na wapili kulia ni Msajili wa Vyama vya siasa, Jaji Francis Mutungi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...