Meza kuu ikitambulishwa katika mahafali ya 14 ya Kidato cha Nne ya Tanzania Adventist Secondary School iliyoko Arusha, Jumapili iliyopita.
Mgeni rasmi Brigedia Jenerali George Mshamba akitoa nasaha katika mahafali ya 14 ya Kidato cha Nne ya Tanzania Adventist Secondary School iliyoko Arusha, Jumapili iliyopita.
Wahitimu wa Kidato cha Nne wa Tanzania Adventist Secondary School iliyoko Arusha katika mahafali ya 14 ya shule hiyo yaliyofana sanja Jumapili iliyopita. Wa kwanza kushoto na wa tatu ni waalimu wao
Wahitimu wa Kidato cha Nne wa Tanzania Adventist Secondary School iliyoko Usa River, Arusha, katika mahafali ya 14 ya shule hiyo yaliyofana sana Jumapili iliyopita. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...