Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Sullivan Provost , wakihudhuria mahafali yao ya kwanza yaliyofanyika shuleni hapo, Kibaha kwa Mathias, Mkoani Pwani hivi karibuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shule ya Wavulana ya Sullivan Provost, Rachel Mwalukasa (kushoto), akizungumza katika sherehe za mahafali ya kwanza ya kidato cha ya shule hiyo shuleni hapo, Kibaha kwa Mathias, Pwani hivi karibuni. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Shule, Jacob Mkumbo, Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Godfrey Zimba na mgeni rasmi Prof. Ibrahim Shao.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shule ya Wavulana ya Sullivan Provost, Rachel Mwalukasa (wa pili kushoto), akimpongeza Emmanuel Sebyo, mmoja wa wanafunzi waliofanya vizuri kimasomo wakati sherehe za mahafali ya kwanza ya kidato cha ya shule hiyo shuleni hapo, Kibaha kwa Mathias, Pwani hivi karibuni. Kushoto ni mmoja wa wajumbe wa bodi ya shule hiyo, Prisca Mwalukasa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...