Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akimkpongeza Askofu Dkt. Abednego Keshmshahara wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Mkoani Kagera (kushoto) wakati wa sherehe za kuwekwa Wakfu zilizofanyika kwenye Kanisa la KKKT mjini Bukoba, mkoani Kagera leo Okt 18, 2015. Katikati ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Alex Malasusa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi na Waumini wa dini ya Kikristu, wakati wa sherehe za kuwekwa Wakfu, Askofu Dkt. Abednego Keshmshahara wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Mkoani Kagera, zilizofanyika kwenye Kanisa la KKKT mjini Bukoba, mkoani Kagera leo Okt 18, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Askofu mpya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Mkoani Kagera, Dkt. Abednego Keshmshahara (wa pili kushoto) Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Alex Malasusa (kulia) baada ya kukwekwa Wakfu.
Askofu mpya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Mkoani Kagera, Dkt. Abednego Keshmshahara, akihutubia baada ya kuwekwa Wakfu. Picha na OMR
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...