Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki na baadhi ya wajumbe wa CCM kusimama na kuomboleza kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki, marehemu Celina Kombani, wakati wajumbe hao walipokutana kwa dharula jijini Dar es Salaam, jana Okt 10, 2015.
 Mjumbe wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baada ya kumalizika kwa kikao cha dharula, kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba jijini Dar es Salaam,jana Okt 10, 2015.
 Picha na OMR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...