Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya  I&M, Baseev Mohamed (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh.milioni 20, Mkuu wa Idara ya Biashara wa benki hiyo, Svikanth T,  kwa niaba ya mteja wa benki hiyo, Jumanne Francis Mchenje wa Tarime mkoani Mara anayeishi jijini Mwanza aliyejinyakulia kitita hicho cha fedha baada ya kushinda bahati nasibu ya kwanza inayoendeshwa na benki hiyo kwa ajili ya kuongeza wateja wapya iliyofanyika Dar es Salaam jana. Katikati ni Meneja Masoko, Ruheen Kaba.
 Bahati nasibu hiyo iliyowashirikisha wateja wa benki hiyo ikichezwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...