Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mheshimiwa Binilith Mahenge akiukaribisha ujumbe wa Mabalozi waliotembelea Ofisini kwake wakiongozwa na Balozi wa Sweden Bi. Katarina Rangnitt Ujumbe huo ulifika kwa ajili ya kuzungumzia maswala ya mabadiliko ya Tabia Nchi kwa Nchi za zinazoendelea.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mheshimiwa Binilith Mahenge akiongea jambo na Balozi wa Sweden Bi. Katarina Rangnitt   aliyeongoza Ujumbe wa Mabalozi waliofika Ofisini kwake leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...