Jijini Dar es Salaam wakati wa Kampeni ya
kumnadi Mjumbe wa NEC –CCM Lindi Mjini ,Mama Salma Kikwete,akizungumza na
wakazi wa Kata ya Makurumla Magomeni mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo,Didas
Masaburi na Diwani wa kata hiyo Rajabu Hassani
Mjumbe wa NEC –CCM Lindi Mjini ,Mama Salma
Kikwete,akizungumza na kuonesha Irani ya uchaguzi wakazi wa Kata ya Makurumla
Magomeni Jijini Dar es Salaam wakati wa Kampeni ya kumnadi mgombea wa Ubunge Jimbo
la Ubungo,Didas Masaburi na Diwani wa kata hiyo Rajabu Hassani
Mjumbe wa NEC –CCM Lindi Mjini ,Mama Salma
Kikwete,akiwanadi wagombea Ubunge Jimbo la Ubungo Didas Masaburi (kulia) na
mgombea udiwani Kata ya Makurumla Magomeni Dar es Salaam
Mama Salma Kikwete,akiendelea kuwanadi wagombea
Wakaazi wa
Kata ya Makurumla Magomeni Jijini Dar es Salaam Jimbo la Ubungo wakimsikiliza
Mjumbe wa NEC –CCM Lindi Mjini ,Mama Salma (hayupo pichani) akiwanadi wagombea
Ubunge, Didas Masaburi na mgombea udiwani Kata ya hiyo Rajabu Hassan Picha na Yusuf Badi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...