Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwasalimia wananchi waliosimamisha msafara wake katika eneo la
Buseresere, wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba kuendelea na
kampeni leo.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Bukoba Mjini mkoani
Kagera leo.
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
alipozunguza na waliposimamisha msafara wake katika eneo la
Buseresere, wakati akiwa njiani kutoka Geita kwenda Bukoba kuendelea na
kampeni leo.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi
Mgombea Ubunge jimbo la Chato kwa tiketi ya CCM, Dk. Karineli katika
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo.
Mkuu
wa mkoa wa Kagera, John Mongela akijadili jambo na Mgombea Ubunge jimbo
la Bukoba Mjini Balozi Hamis Kagasheki wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika leo katika jimbo hilo.
Mgombea
Ubunge jimbo la Muleba Kaskazini mkoani Kagera, Charles Mwijage akiomba
kura kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika
jimbo hilo.
Tunawatakia ushindi CCM
ReplyDelete