Chopa aliyomo Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ikiwasili kwenye Viwanja vya Mulowo kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Mlowo kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika Viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya. Pamoja naye ni Mjumbe wa katai ya kampeni za CCM Kitaifa Mwigulu chemba.
Wananchi wakimshangilia Mgombea Ubunge jimbo la Mbozi, Godfrey Zambia alipokuwa akiomba kura katika mkutano wa kampeni uliofayika leo katika jimbo hilo mkoani Mbeya
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia wananci katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika Viwanja vya Mlowo jimbo la Mbozi mkoani Mbeya leo.
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Kabla ya kuweka kura yako tafakari, usibahatishe, kumbuka CCM chama cha watanzania wanaoona mbali.
ReplyDelete