Ni Magufuli atangazwa rais awamu ya 5.Pata habari motomoto za kisiasa katika magazeti ya leo Octoba 30.2015; https://youtu.be/8ZvvzkBbuz4
Utulivu warejea kisiwani Zanzibar.Waangalizi walia na ZEC wataka matokeo yatangazwe.Haki za binadamu wataka kuisaidia ZEC; https://youtu.be/BI16XOK4tAg
Lowasa apinga urais wa Dr.Magufuli, viongozi wa dini wamshauri Lowasa na UKAWA. Ndivyo magazeti yanavyoandika siku ya leo; https://youtu.be/WLjkpl61hHc
Dr.Magufuli atinga ikulu. Watanzania wampa zawadi ya urais siku yake yakuzaliwa.Pitia dondoo za magazeti; https://youtu.be/ApwuMAGHEho
Pata habari kemukemu za kina zilizopewa kipaumbele na wahariri wa magazeti mbalimbali hapa nchini; HTTPS://YOUTU.BE/NSVTVP3C8YC
UKAWA MPOOOOOOOOO?
ReplyDeleteASSSALAAAAM ALEIKUMMMM???
BWANA ASIFIWEEEE???
Habari zenyu jamaniiiiiii !!!
Dr.Magufuli ndio habari ya Dunia zaidi ya Mujini !!!
TUMEFUNGA PAZIA LA KAMPENI ZA KISIASA, KILA MTU ACHUKUE JEMBE LAKE AKALIME, MVUVI ABEBE NYAVU ZAKE AKABUE SAMAKI,NA MFUGAJI AFUNGUE ZIZI LAKE AKACHUNGE NG'OMBE.
TUKUTANE TENA 2020 KUNAKO UHAI
WENU MTANZANIA MWENZENU,
AMIIINAAA.
WASSALAAAM.