Bwana na Bibi harusi wakiingia kanisani kwa ajili ya kufungishwa ndoa katika kanisa la KKKT Sinza jana Jumapili.
(Picha na Geofrey Adroph)
(Picha na Geofrey Adroph)
Mchingaji akitoa neno kwa wanandoa hao waliofunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Sinza jijini Dar jana Jumapili.
Bwana Harisi Sillah Mbuya akimvalisha pete ya ndoa mke wake Ancilla katika kanisa la KKKT Sinza.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...