Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza wanachama na wananchi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kiwani wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM zinazoendelea
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendelea kuzungumza wanachama na wananchi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kiwani wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akionesha Ilani ya Chama kwa wanachama na wananchi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kiwani wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo alipokuwa akizungumza nao katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM zinazoendelea.
Wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa Mpira Jimbo la Kiwani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, Picha na Ikulu.

CCM na maendeleo oyee
ReplyDelete