Baada ya kumalizika kwa mkutano wa Viongozi TEHAMA Nchini Kenya Vyombo
kadhaa vya habari vimepata Kunihoji ikiwa ni pamoja na Radio One -
Kupitia African Panorama.
Ambapo nimetolea ufafanuzi wa key take a
ways kwenye mkutano na hasa kubobea kwenye eneo langu la utaalam ambapo
ndio mijadala niliyo jadili - Usalama mitandao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...