Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha TLP Mhe. Augustino Lyatonga Mrema leo amesimamisha msafara wa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokutana nao maeneo ya Himo njia panda mkoani Kilimanjaro, na alipokaribishwa alimuombea kura za Urais Dkt. Magufuli huku yeye mwenyewe akijiombea kura kwa jimbo la Vunjo.
Home
Unlabelled
Mrema ampigia debe Dkt John Pombe Magufuli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ukistaajabu ya Musa.........kwani TLP haina mgombea urais?
ReplyDelete