Wakazi wa Arumeru Mkoani Arusha wameiomba serikali kupitia Mpango Wa TASAF kuongeza wigo wa msaada wa fedha kwa wazee. https://youtu.be/wcopmoLBTDk
Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani Geita chajipangwa kutumia askari wasiovaa sare ili kudhibiti mwendokasi wa Madereva https://youtu.be/Pkugvqgn5Fo
Mchezo uliopigwa kati ya wenyeji Sudani Kusini dhidi ya Mauritania wavunjika kutokana uwanja kujaa maji ya mvua ilionyesha hapo jana: https://youtu.be/XJQMbuvYOkE
Bondia Man Pacquiao ameweka wazi kuwa huenda akastaafu masumbwi hivi karibuni ili apate muda wa kupumzika: https://youtu.be/LO5p9IGHvMk
Makampuni binafsi Nchini yameombwa kujitokeza kunusuru mchezo wa mpira wa kikapu amabo unakabiriwa na changamoto ya viwanjwa:https://youtu.be/4RW6J0SuffI
Mgodi wa Geita GGM umetenga Sh.bil 1.7 kwajili ya kuanzisha mradi utakaozalisha ajira kwa vijaana zaidi ya 200 Mkoani humo; https://youtu.be/ktNzNHCbrwY
Kuendelea kwa mfumo dume katika mikoa mbalimbali nchini kwasababisha wanawake kuishi katika hali duni licha ya kuchuma mali pamoja;https://youtu.be/ZXgmBI0nTLY
Wataalam wakutana jijijini Dar Es Salaam kujadili changamoto na jinsi ya kukabiliana na ugonjwa wa malaria kwa nchi za Afrika. https://youtu.be/WjZkY-20Kaw
Mamlaka ya maji Mkoani Tabora imeridhishwa na upanuzi wa mradi wa miundombinu ya maji utakaosaidia ongezeko ya utoji huduma ya maji;https://youtu.be/vC0Nb5sSTp8
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...