Meneja Utendaji na Huduma kwa wateja Benki ya Exim Tanzania tawi la makao makuu jijini Dar es Salaam, Bw. Lugano Kapologwe(kulia), akikabidhi zawadi ya simu aina ya iPhone 6 kwa mshindi wa droo ya tatu ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ya Dola za Kimarekani inayoendeshwa na benki hiyo, Bw DileshKumar Solanki (kushoto) katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika kwenye tawi hilo jana.
Home
Unlabelled
MSHINDI DROO YA TATU EXIM APATIKANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...