
Mwanamziki wa Uingereza,Arjun Coomeraswamy akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)juu ya ujio na kukutana na watu mbalimbali katika Ukumbi wa Viva Tower jijini Dar es Salaam na Jumamosi atafanya shoo Zanzibar katika ukumbi wa Kendwa Rocks Beach Resort iliyofanyika leo katika ukumbi wa New Afrika jijini Dar es Salaam.

Mkuu Kitengo wa kinywaji cha John Worker na Masoko na uboreshaji,Stanley Samtu akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya udhamini wa mwanamziki huyo iliyofanyika leo katika ukumbi wa New Afrika jijini Dar es Salaam,Kulia ni Mwanamziki wa Uingereza,Arjun Coomeraswamy ,kushoto ni Mwanamziki,Lina Sanga .

Mwanamziki,Lina Sanga akizungumza leo jijini Dar es Salaam.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...