![]() |
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB katika matawi ya Nelson Mandela na Mawenzi wakiwasili katika hosptali ya rufaa ya KCMC. |
![]() |
Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela ,Emanuel Kashusho akizungumza jambo na afisa habari wa hospitali ya rufaa ya KCMC Gabriel Chiseo,(Kulia). |
![]() |
Afisa Uhusiano wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC akitoa maelezo kwa wafanyakazi wa Benki ya NMB,matawi ya Moshi mjini waliotembelea hosptalini hapo kutoa zawadi na kuwapa pole wagonjwa. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA. |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...