Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania, Keith Tukei(kushoto)akimkabidhi Bw.Ajali Kibiki(kulia)cheti cha utendaji bora wa kutoa huduma  nzuri  kwa wateja  katika duka la kampuni hiyo lililopo Makamba Mkoani Njombe,Wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kutoa elimu kwa  washirika wa kibiashiara.Wengine katika picha wapili toka kushoto ni Magreth Lawrence na Brigita Stephen.Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mshirika wa kibiashara wa Vodacom Tanzania,Moshi Kimila mkazi wa Kasulu mkoani kigoma(kulia) akifurahia kwa kupata tuzo ya utendaji bora wa kazi aliyokabidhiwa na Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa kampuni hiyo, Keith Tukei(kushoto) Wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kutoa elimu kwa  washirika wa kibiashiara na kuwatunuku tuzo na vyeti  mbalimbali kwa watendaji bora. Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. 
 Mkuu wa kitengo cha huduma  za kifedha wa Vodacom Tanzania, Evans Lyimo(kulia) akiongea na baadhi ya washiriki katika  warsha ya kutoa elimu kwa  washirika wa kibiashiara iliyoandaliwa  na kampuni hiyo kwa ajili ya kuweza  kuendelea kuboresha huduma za kibiashara katika jamii. Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
 Mshirika wa kibiashara wa Vodacom Tanzania,Lilian Minja  mkazi wa jijini Dar es salaam(kulia) akifurahia kwa kupata cheti cha utendaji bora wa kutoa huduma   kwa wateja  alichokabidhiwa na Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa kampuni hiyo, Keith Tukei(kushoto) Wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kutoa elimu kwa  washirika wa kibiashiara na kuwatunuku tuzo na vyeti  mbalimbali kwa watendaji bora,katikati ni Andrew Temu. Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...