Juzi ilikuwa ni mapumziko kwa Watanzania ikiwa ni kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Mwasisi wa Taifa la Tanzania hayati baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere aliefariki dunia Octoba 14,1999

Katika kuwajali wakazi wa Jiji la Mwanza, Mamiz Grand Resort pamoja na Mamiz Gate Way zilizopo Mkolani ziliwakutanisha watanzania pamoja na kuketi kwa ajili ya kutafakari siku hiyo.
Kulikuwa na Live Band kutoka kwao Wasamalia Band. Kutana nao ndani ya Mamiz Gate Way kila Jumatano na Ijumaa, Pia kila Jumamosi na Jumapili ndani ya Mamiz Grand Resort
Kulikuwa na Live Band kutoka kwao Wasamalia Band. Kutana nao ndani ya Mamiz Gate Way kila Jumatano na Ijumaa, Pia kila Jumamosi na Jumapili ndani ya Mamiz Grand Resort
Ndugu, Jamaa na Marafiki walijumuika ndani ya Mamiz Grand Resort pamoja na Mamiz Gate Way Mkolani Jijini Mwanza

Msosi safi ndani ya Mamiz Gate Way
Mamiz Grand Resort na Mamiz Gate Way zilizopo Mkolani zinakidhi mahitaji yako. Bonyeza HAPA Kujionea ndani ya Mamiz Grand Resort

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...