Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi ufunguo wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa ya The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital Waziri wa Afya Kebwe Steven Kebwe kama ishara ya kuikabidhi Wizara ya Afya hospitali hiyo leo wakati wa hafla ya ufunguzi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwajulia hali baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika hospitali mpya ya The Benjamin Mkapa UltraModern Hospital mjini Dodoma leo(picha na Freddy Maro)
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera serikali kwa kupanua huduma za afya, mikakati ya kuhakikisha kunakuwepo bajeti ya matengenezo ili huduma ziendelee kuimarika kwa muda merfu ziwepo. Picha hizi zinatia moyo sana kwamba kama nchi tunaendelea kupiga hatua. Endeleza kazi nzuri kama hizi ili wananchi wengi wasilazimike kwenda mbali kwa ajili ya matibabu ya madaktari bingwa..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...