Na January Makamba

Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu umekuwa na msisimko mkubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa siasa za vyama vingi mwaka 1995. Mengi yamendikwa kuhusu uchaguzi huu, hususan kutokana na hisia kwamba safari hii Upinzani una nafasi ya kukiondoa madarakani moja ya vyama vikubwa na vyenye muundo bora barani Afrika, chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Matukio mbalimbali kuelekea uchaguzi huo yameleta shauku inayoweza kutengeneza hadithi ya kusisimua.
Nikiwa sehemu ya Timu ya Kampeni ya CCM,na kwa manufaa ya wote ambao wangependa kuwa na mtizamo tofauti, ninatoa sababu 9 kwa nini tunaamini kuwa CCM itaibuka mshindi na kwanini Dkt John Pombe Magufuli atakuwa Rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kusoma zaidi BOFYA HAPA
Mpiga kura, usiuze haki yako ya kupiga kura au kudanganyika na pombe, pesa au mlo wa siku moja.
ReplyDeleteKumbuka unachagua viongozi wa miaka mitano watakaokuwa na dhamana ya kuendeleza nchi hii. CCM inaonyesha kuwa na upeo mkubwa zaidi wa kuweza kutekeleza sera za maendeleo, Usinahatishe wala kukubali kununuliwa. CCM inatosha