Majimbo kumi ya kufa au kupona kati ya CCM na CHADEMA. Masha akamatwa tena.Yote haya utayapata katika magazeti ya leo; https://youtu.be/he5sNUP8L1A
Magufuli kutikisa Dar kwa siku tatu. NEC yasema kukusanyika mita 200 ni hujuma na kwamba kutazua hofu kwa wapiga kura; https://youtu.be/1cf2IYpQLjU
Mchungaji afungwa kifungo cha maisha kwa kumbaka mwanae. Wataalam wasema ni vigumu chopa kulipuka ; https://youtu.be/XPE-WhIy80E
Simba ,Yanga vitani leo, Kiiza mchezaji bora September. MO yaitaka Simba kwa Bil.20. Pata habari za michezo katika magazeti ; https://youtu.be/DdCCFWuu-ow
Mbowe anena mazito katika mazishi wa Dr.Makaidi.Pata habari kutoka magazetini zilizopewa kipaumbele kwa siku ya leo;https://youtu.be/JgWToCo- FNo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...