Mkurugenzi na mmiliki wa mitandao(BLOGU) ya www.matukiodaima.co.tz Bw Francis Godwin akimkabidhi mkuu wa mkoa wa Iringa Bi Amina Masenza stecker za kubandika katika magari na maeneo mbali mbali zinazohamasisha amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Octoba 25 mwaka huu |
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Iringa Ramadhan Mungi akionyesha sticker za kuhamasisha amani na utulivu nchini kuelekea uchaguzi mkuu zinazotolewa na mtandao wa www.matukiodaima.co.tz kwa mkoa wa Iringa na mikoa mingine hapa nchini |
Mkuu wa mkoa wa Iringa Bi Masenza akisoma ujumbe wa amani uliopo katika stecker hizo zilizotolewa na mtandao wa matukiodaima ili kusambazwa katika wilaya zote za mkoa wa Iringa |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...