Meneja wa Kampuni ya Business Connexion Tanzania Limited Ebenezer Massawe akitoa mafunzo juu ya kupata taarifa ya vyanzo vya mapato kwa waandishi wahabari wakati wa semina iliyoandaliwa na Chama cha waandishi wa habari za kodi Tanzania (TAWNET jijini Dar es Salaam. Kwa udhamini wa Vodacom Tanzania.
Afisa Mwandamizi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Hamisi Lupenja,akifafanua jambo kwa waandishi wahabari (hawapo pichani ) wakati wa semina iliyoandaliwa na Chama cha waandishi wa habari za kodi Tanzania (TAWNET ) jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo ilidhamini wa Vodacom Tanzania na Business Connexion Tanzania Limited.Kulia ni Rose Mahendeka ,Afisa kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Afisa kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania
(TRA) Rose Mahendeka, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa warsha
iliyoandaliwa na Chama cha waandishi wa habari za kodi Tanzania (TAWNET
jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo ilidhamini wa Vodacom Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...