Meneja wa Benki ya CRDB wa tawi la Water Front, Donath Shirima akimpa tunzo pamoja na barua ya kumshukuru Afisa Mtendaji  mkuu wa Mohamed Interpraises, Mo dewji  kuwa ni mshiriki mkubwa wa benki ya CRDB katika tawi la Water Front leo katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika ofisi zake jijini Dar es Salaam.
Mteja wa benki ya CRDB tawi la Water front akipima akipima Shinikizo la Damu leo jijini dar es Salaam katika tai hilo.
 Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Water Front wakiwa katika picha ya pamoja leo jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...