Mgombea urais kupitia CCM Dk.Magufuli aunda jopo la wataalamu kwa maandalizi ya kufanya mabadiliko serikalini; https://youtu.be/UHe1rFFsj30
Dk.Shein aahidi Bandai ya kisasa kwajili ya kuboresha sekta ya uvuvi iwapo wananchi watamchagua tena kuwa rais wa Zanzibar; https://youtu.be/HmJ8mA_JuSk
Bodi ya kupambana na rushwa ya Umoja wa nchi za Afrika yaeleza kufurahisha na mchakato wa kisiasa unavyoendelea nchini na kuwataka wananchi kutumia haki yao ya kupiga kura; https://youtu.be/pg_b4kHkztU
Wanne watiwa mbaroni na jeshi la polisi kwa kuhusika katika utekaji wa magari 6 na kupora mali za abiria Mkoani Singida; https://youtu.be/3WsK2IWKv3M
Mgombea urais NRA Janken Kasambala aahidi kuweka mgawanyo sawa wa rasilimali za nchi iwapo wananchi watamchagua kuwatumikia, https://youtu.be/bWNejw0i2rw
Watanzania waaswa kulinda tunu za amani, umoja na haki licha ya kuwepo na uchocheze kwa baadhi ya wanasiasa; https://youtu.be/3S9wmE225uU
Mgombea mwenza CCM Samia Suluhu asimamishwa katika msafara wake na kuombwa kutoa maelezo juu ya hatma ya reli ya kati; https://youtu.be/u0uVlvc_gtM
Rais wa Namibia Hage Geingbob awasili nchini kwa ziara za kiserikali ya siku mbili kufuatia mualiko aliyopewa na rais Kikwete; https://youtu.be/YbMwwONQx5k
Matumizi ya Mto Pangani yaleta mgogoro baina ya wadau kutokana na wananchi kukiuka masharti ya matumizi ya maji ya mto huo; https://youtu.be/P7bcd4uL6uI
Mgombea urais kupitia CHAUMA Hashim Rungwe atoa vipaumbele vya maendeleo atakavyo shughulika navyo iwapo atapata urais; https://youtu.be/ReQzMyseOOw
Mgombea urais Zanzibar DK. Shein amefanya kampeni visiwani humo huku akujivunia utekelezaji wa ilani hususani katika huduma za afya; https://youtu.be/dYjkinxULhg
Mgombea urais anayeungwa na UKAWA Lowasa afanya kampeni Mkoani Musoma huku akiahidi kushughulikia ujenzi wa hospitali Mkoani humo;https://youtu.be/4kjPzjCKw78
Taifa Stars kupambana na Algeria baada ya kuitoa timu ya Malawi katika michuano ya kuwania kufuzu kombe la dunia; https://youtu.be/fGjYm7vSSfQ
Klabu ya Toto Afrika ya jijini Mwanza imefanya uchaguzi mdogo wa viongozi huku Godwin Haiko aibuka mshindi wa nafasi ya mwenyekiti;https://youtu.be/4OgcxB01AXw
TaifA Stars yasonga mbele safari ya kuelekea kombe la dunia kwa kuiondoa timu ya Malawi licha Stars kufungwa katika mechi ya leo, https://youtu.be/hcznLX6hhew
Mchezaji wa mbio za magari mwenye asili ya Uingereza Lewis Hamilton aibuka kidedea katika mashindano ya mchezo huo liofanyika Urusi; https://youtu.be/0bgH7RmQmV0
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...