![]() |
Bettisheba Pole Ketang'enyi enzi ya uhai wake |
Mipango ya kusafiri mwili wa marehemu inaendelea kwa mdogo wa marehemu Daudi Musika wa 3819 Gateway terrace Burtonsville MD 20866.
Unaweza kuwasiliana na:
Unaweza kuwasiliana na:
- Frederick Ketangenyi 267 809 5124
- Felicia Simms 240 608 8686
- Rossie Musika 240 408 2693
- Neema Musika 571 991 9819
- Specioser Musika 571332 2215
- Sijaona Musika 202 487 8412
Pole sana Felicia na wadogo zako. Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu kwenu. Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
ReplyDeleteR.I.P. Dada Betisheba
ReplyDelete