Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni October 20, 2015.
Kamati ya Saidia Taifa Stars ishinde yatoa dira kuhakikisha timu hiyo inashinda katika michezo yake ya kimataifa ;https://youtu.be/x5PxjRc9zpY
Shirikisho la soka Ulaya UEFA yatangaza ratiba ya mechi za mchujo za timu zitakazowania kufuzu kucheza finali za Ulaya mwakani nchini Ufaransa ; https://youtu.be/aq31NLL6HHg
NEC imewatahadharisha wananchi kuwa hakuna kifungu cha sheria kinachoruhusu mtu kubakia katika kituo cha kura baada ya kuoiga kura; https://youtu.be/AGlLlvVXmdM
Tambua sababu zinapolekea ugonjwa wa figo ambao umeonekana kuathiri kundi kubwa la watu hapa Nchini,kama anavyotueleza Dk.John; https://youtu.be/b9gESJoPPwg
Fuatilia ujue Vipaumbele vya vyama mbalimbali kuelekea uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu vinazingatiwa?:https://youtu.be/X_0dHoFR_jU
Fuatilia namna ambavyo watanzania walivyojipanga kuhakikisha Nchi inakuwa na amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu: https://youtu.be/hq0__StJoM4
Tambua Mchango wa vyombo vya habari katika kutuliza vurugu katika wakati huu wa kuelekea uchaguzi Mkuu zikiwa zimesalia siku 4 tu: https://youtu.be/c0UldkD7TcE
Fuatilia muamko wa wananchi baada ya kusambazwa kwa elimu ya kupiga kura zikiwa zmesalia siku chache kuelekea uchaguzi mkuu: https://youtu.be/nGtbDZVIBxc
Mgombea Uraisi CCM Zanzibar Dkt. Ali Shein awaahidi wananchi kuendeleza mradi mkubwa wa viwanda Wa FUMBA kusaidia ajira kwa Vijana. https://youtu.be/VAF-4N0L09Q
Mgombea Uraisi CCM Dkt. John Magufuli aahidi kupambana na wavuvi haramu katika Ziwa Viktoria endapo atapata ridhaa ya wananchi. https://youtu.be/QPgoO8cztgw
Mjumbe wa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa Balozi Ali Abeid Karume asema wananchi wa Zanzibar wana mamlaka kamili ya kuchagua kiongozi wanayemtaka. https://youtu.be/PaTFO8jhyo8
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Raisi Jakaya Kikwete amezindua awamu ya pili ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa vita ndani ya kamandi ya anga Ngelengele. https://youtu.be/ll36RCNB_qo
Jeshi la polisi nchini limewahakikishia wananchi kuwa limejipanga vema kuhakikisha ulinzi na usalama katika vituo vya kupigia kura. https://youtu.be/e2HOVGUBcLw
Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA yavitaka vyombo vya habari kutoa habari zenye kuelimisha na kudumisha amani. https://youtu.be/nyZxEAcu9wc
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...