Huu ni uchambuzi wa Habari toka vituo mbalimbali vya Televisheni Mchana Huu October 23, 2015.
Klabu ya soka ya Azam FC imeendelea kukabana koo na Mabingwa wa Ligi kuu soka Klabu Ya Yanga baada ya kufikisha Pointi 19 sawa na Yanga
Timu Ya soka Ya Stand United ya shinyanga imrjinasibu na kusema wembe ni ule ule wa ushindi ili kushika usukani wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara. https://youtu.be/GDoHdphwLMA
Timu ya Taifa Ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kuweka kambi ya kujinoa kuikabili Aljeria kwa mtanange wa pili kuwania kushiriki kombe la Dunia. https://youtu.be/lBtz8cMDX-o
Raisi Kikwete amesema kuwa Mkongo wa Taifa Mawasiliano katika idara za Serikali kumechangia kupunguza mianya Ya Rushwa Nchini. https://youtu.be/7vBg4FRspsA
Waandishi wa Habari Nchini wameombwa kuwa mstari wa Mbele katika kutetea na kulinda amani ya Taifa Uchaguzi Mkuu. https://youtu.be/68BiCiwH6Ac
Wananchi Mkoani Simiyu Wameungongeza Mpango wa TASAF wa Kunusuru kaya masikini kwa kuwa umesaidia walengwa kununua chakula. https://youtu.be/O9-RVyGFkSc
Wawakilishi wa serikali za mtaa wana wajibu gani katika kuhakikisha maendeleo ya sehemu wanazowakilisha?;https://youtu.be/PwMvBw3TgVs
Je ni kwa namna gani sera za wagombea mbalimbali zimeweza kumgusa mkulima wa Tanzania na sekta ya kilimo kwa ujumla?; https://youtu.be/R7AGuhXyoIQ
Hii ndiyo tathmini ya siku za wanasiasa walizojinadi katika majukwaa mbalimbali na mchambuzi huru wa maswala ya katika kampeni zao; https://youtu.be/OUwRixFpXp0
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...