TBC:Raisi Kikwete azindua mitambo ya gesi,ukawa waingia kiwewe, Nchimbi awananga ukawa,ukawa yagonga mwamba.Fuatilia uchambuzi wa magazeti. https://youtu.be/DrGMIzEhnNc
STAR TV:Fuatilia uchambuzi wa magazeti ya leo October 11 uhabarike na mengi yaliyojiri katika kampeni za uraisi kuelekea uchaguzi mkuu. https://youtu.be/Q5BLIEaXKGk
CH10:Polisi yazuia mkutano wa mama Lowassa,CCM tutashinda, uraisi wa Dr.Magufuli na Lowassa watikisa dunia. Fuatilia uchambuzi wa magazeti. https://youtu.be/UoE4KEL4OCI
AZAM TV: Taifa Stars kuikalisha Malawi leo? Simba yaifanyia umafia Mebeya City,Ferguson amsifu Mourinho.Tazama uchambuzi wa magazeti. https://youtu.be/jmzuOTHnyFs
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...