Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea taarifa fupi ya kiwanda cha
kuchakata gesi asilia eneo la Madimba Mkoani Mtwara kutoka kwa Mkurugenzi
Mtendaji wa TPDC, James Mataragio (kulia) kabla ya kuzindua kiwanda hicho,
katikati ni Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kiwanda cha kuchakata gesi
asilia eneo la Madimba Mkoani Mtwara mwishoni mwa wiki.
Rais Kikwete akipatiwa maelezo ya jinsi
kiwanda cha kuchakata gesi asilia kinavyofanyakazi kutoka kwa Mhandisi, Sultan
Pwaga.
Wageni
mbalimbali na wananchi walio hudhuria uzinduzi huo.
Sehemu ya kiwanda cha
kuchakata gesi asilia Madimba Mkoani Mtwara kilizichozinduliwa na Rais Kikwete
mwisho wiki.
Kiwanda cha
kuchakata gesi asilia kilichoko Madimba Mkoani Mtwara.
Huu unaonekana kuwa mdadi mkubwa wenye miundo mbinu inayoeleweka.
ReplyDelete