1.
Viko
Mbweni usalama wa
taifa, vina hati miliki, viko karibu na
barabara ya lami na viko
karibu na beach,
vipo Sqm 600 – 1500, bei ni
kuanzia milioni 35 mpaka 45.
2.
Nyumba
3 zinauzwa, zipo Mwananyamala “A”, moja vyumba 12, nyingine vyumba 6 na
nyingine vyumba 4. Zote zina leseni
ya makazi, gari mpaka mlangoni, umeme upo. Kila
moja bei milioni 65.
3.
Nyumba
yenye geti la gari, vyumba 4, kimoja master, umeme, sebule,
dining, jiko, stoo, na hati miliki
inauzwa. Ipo Mbagala Kuu, bei milioni
65.
4.
Pia nyumba
za milioni 65 – 70 zipo
Mbweni na boko.
Mawasiliano 0784482959.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...