Hakika ilikuwa ni Furasa isiyo na Kifani kwa Wanafunzi wa Awali kutoka Shule ya Msingi Green View English Medium ya Jijini Mwanza baada ya kufika katika mandhari iliyopo ndani ya Mamiz Grand Resort Mkolani Jijini Mwanza kwa ajili ya ziara yao ya Kimasomo (Study Tour) siku ya juzi Octoba 16,2015.
Wanafunzi hao walifurahia michezo ya aina mbalimbali inayopatikana Mamiz Grand Resort kama ambavyo Kamera ya BMG (Binagi Media Group) ilivyonasa matukio ya hapa na pale. Hakika Watoto sasa wamepata pahala pa kufurahia utoto wao ndani ya Jiji la Mwanza.
Mmoja wa Wanafunzi wa Green View English medium akifurahia Michezo ya Chopa ndani ya ndani ya Mamiz Grand Resort iliyopo Mkolani Jijini Mwanza 
Mmoja wa Wanafunzi wa Green View English Medium akifurahia Michezo ya Chopa ndani ya ndani ya Mamiz Grand Resort iliyopo Mkolani Jijini Mwanza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...