Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. The mdudu, tunataka mtutangazie za nchi nzima sio Muhimbili tu pesa mnazo za kutosha mmepewa billion 3 ni pesa nyingi sana hatutaki mambo ya zima moto hapa kisha pesa zingine mgawane watu gani msiokua na u binaadamu kwa watanzania wenzenu mtoke kwenye viti vya kuzunguuka mtembelee mikoa yote na mje mtwambie mashine zote mikoani zina fanya kazi #hapakazitu huwezi tupishe tusonge mbele

    ReplyDelete
  2. pole pole tu watashika adabu,HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  3. Kweli mchezo mchafu..yaani hata wiki haijapita..lol..hapo lazima wahusika wajibu..
    Maswali ni mengi zaidi ya majibu. ..iweje mpaka watu wapigwe mkwala ndio huduma isogee..? Kweli sisi wabinafsi..aibu sana!

    ReplyDelete
  4. Inasikitisha kuona kwamba watumishi wa serikali hawa wajibiki kwa kujituma wenyewe mpaka afuatwe migongoni kama watumwa. Je kan Rais asingekwenda hapo hizo machine singefanya kazi lini?

    Kweli inabidi sasa tubadilishe tabia, ili tuijenge nchi yetu. Tusingoje kufuatwa matakoni ndiyo tuwajibike. Rais ana majukumu mengine makubwa ya kuiinua nchi yetu, hivyo tushirikiane nae kwa moyo na nia moja. Uwezo tunao ila nia hatuna.

    ReplyDelete
  5. NA BADOOOOO!!!! BODABODA LITAENDELEA KUWAPITIA WALE WABOVU WOOTE MPAKA KIELEWEKE. HONGERA SANA MHESHIMIWA RAISI.

    ReplyDelete
  6. wengi walidai mabadiliko mie nikasema ubadilike wewe kwanza ndio udai mabadiliko mijitu inapewa dhamana alafu inahujumu, mijizi haina ata huruma alafu wa kwanza kudai hatupewi aki zetu mishahara midogo kweli pumba, mie siku zote mpaka naingia kabulini Madoctor manesi sitakaa nikawaombea kheri, nimepoteza mama yangu ndugu zangu kwa ushenzi wao, huwezi muona doctor lazima hongo mbali na tiba,baada ya hapo atakwambia haoni ugonjwa nenda hospital fulani ajali ni kiasi gani umetumia, nauko anako kupeleka ni share yake unakwenda kuanza moja na kwa pesa nyingi. hapo muhimbili ukienda siku zote machine ni mbovu unaambiwa nenda hospital fulani za masilahi yao au hapa utachukua muda nifuate hospital fulani mbona hiyo tulishazoea na tunafuata vile hatuna pakukimbilia.tumwombee sana Rais wetu afanye kazi vile maadui sasa watakuwa wengi nimeipenda sana kazi yake na anajua kusoma alama za nyakati kwani kama asingefuta uongozi mzima asingefanikiwa kwa ili Mungu msimamie Rais wetu abadilishe upepo mbovu ili tusonge mbele

    ReplyDelete
  7. Mtu akishauri uongozi wa kidictator watu watafikiri vibaya lakini hata viboko vinatakiwa ili kazi itendeke. Hakuna masuala eti "kwa sababu zisizoweza kuzuilika ....". Pumbavu! Inabidi tufanye kazi kwa kusimamiwa ili twende mbele kwani wenyewe kujituma hatuwezi ... ukoloni type.

    ReplyDelete
  8. kwa mwandishi wa habari makini hii sio breaking news ni embarrassing moments

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...