Viongozi na mashekhe wa kundi la Uamsho leo wafikishwa mahakamani wakiwa chini ya ulinzi mkali. https://youtu.be/IcVmpMbpHXw
Mkuu wa mkoa wa Dare es salaam awataka maafisa afya kushishirikiana na viongozi wa serikali za mtaa kukagua na kusimamia usafi kila siku.https://youtu.be/SnoyR4U1MBg
Mwanaharakati wa chadema na anayedaiwa kuwa kampeni meneja wa lowassa atiwa mbaroni kufuatia utata juu ya uraia wake. https://youtu.be/67Yqx97umgk
Jeshi la polisi nchini kikosi cha usalama barabarani kimefanya tathimini ya matumizi ya tochi katika mikoa mbalimbali na kubaini baadhi ya askari wake kutokuwa waadilifu.https://youtu.be/t9nQEapxXh4
Mamlaka ya mapato nchini TRA yaonyesha kuwa na matarajio ya kukusanya mapato mengi zaidi na kuvuka lengo kufuatia msukumo waliopewa na Raisi Magufuli.https://youtu.be/bopx4A7oHL0
Baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge wa Ludewa hatimaye CCM katika jimbo hilo imempitisha Deo Ngalawa kuwania ubunge wa jimbo hilo.https://youtu.be/oaaexLzmEoA
Mvua zinazoendelea kunyesha huko jijini Mwanza zaelezwa kuharibu miundombinu na kuathiri makazi ya wananchi wa eneo mbalimbali jijini humo.https://youtu.be/m6KRWC-1oLc
Baadhi ya wananchi huko wilayani Musoma mkoani Mara waiomba serikali mpya kupambana na vitendo vya uvuvi haramu. https://youtu.be/0vRdT99awmQ
Viongozi wakuu wa kisiasa Zanzibar Maalim Seif na Raisi Shein wakutana kwa mara nyingine tena visiwani Zanzibar kujadili mgogoro wa kisiasa visiwani humo.https://youtu.be/CAqw5rgNmJk
Miundombinu katika soko la mashine 3 katika manispaa ya Iringa yaelezwa kuwa duni licha ya soko hilo kuwa la pili kwa ukusanyaji wa mapato mkoani hapo.https://youtu.be/CgGlPAdnzKg
Baadhi ya wananchama wa CCM walioshindwa katika kura za maoni wamekanusha madai ya kukihujumu chama katika uchaguzi mkuu; https://youtu.be/D2OgvYQI1YU
Tahadhari juu ya ugonjwa wa kipindupindu kwa baadhi ya wananchi bado changamoto katika jijini la Mwanza; https://youtu.be/-2kWgVKk-p0
Jeshi la polisi Mtwara linawashikilia watu watatu kwa kutuhuma za kutengeneza mabomu bandia; https://youtu.be/xA4ZusJ1Ij8
Serikali imetoa agizo kwa kila mkoa nchini kubainisha zao kuu la kilimo linaloweza kulimwa kwa kila mkoa ili kujengewa viwandal; https://youtu.be/vq15qLERmrE
Raisi Dk.Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasimi mchezo kati ya Taifa Stars dhidi ya Algeria kuwania nafasi ya kucheza kombe la dunia 2018;https://youtu.be/6NNIFWfh9Bk
Machozi ya furaha yamtoka baba wa mchezaji wa Taifa Stars pamoja na klabu ya TP Mazembe ya Congo, Mbwana Samatta; https://youtu.be/H_BxRIyaiaI
Wabunge wa bunge la Afrika Mashariki wamefurahishwa na maboresho yanayofanyika ndani ya bandari Dar se Salaam; https://youtu.be/rbVAW0s_eL8
Benki ya Barclays nchini imezindua huduma mpya ya kibenki kwa njia ya mtandao;https://youtu.be/896nGjfUnM0
Mamlaka ya mapato nchini TRA imefikia lengo lake la makusanyo ya kodi kati ya mwezi wa saba adi wa kumi; https://youtu.be/zxotVUKE58U
Chama cha ACT Wazelendo kimempongeza raisi Dk.Magufuli kwa kutelekeza baadhi ya sera za chama hicho; https://youtu.be/Sv1ebqlQuH0
Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani kimesema kitawachukulia hatua kali askari watakao kiuka maadili ya kazi; https://youtu.be/4f_k80JUS_Y
Hatimaye Mashine ya MRI iliyopo hospitali ya taifa ya Muhimbili yaanza kufanya kazi kufatia agizo la Raisi Dk.Maguli alilolitoa wakati wa ziara yake;https://youtu.be/KSZ5pGO3_Jo
Wananchama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wameanza kuchukua fomu kuwania kiti cha Usipika na unaibu Sipika katika bunge la Tanzania; https://youtu.be/ci6aQSkXn1o


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...