SIMU.TV: Viongozi Mbalimbali wawasili katika ukumbi wa Ikulu Ya Chamwino Dodoma kushuhudia kiapo cha Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa.
SIMU.TV: Mhe. Kassim Majaliwa ni waziri wa 11 tangu Tanzania ipate uhuru wake toka kwa wakoloni.https://youtu.be/w8QL1Xqn-uE
SIMU.TV: Makamu wa Rais Mstaafu Mhe. Gharib Bilal awasili kushuhudia kiapo cha Mhe. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. https://youtu.be/UDtuYyt5jVI
SIMU.TV: Hatimaye Waziri mkuu mteule na Rais Magufuli wawasili ndani ya ukumbi wa Ikulu ya Chamwino na wimbo wa Taifa kuibwa. https://youtu.be/AYcNgFIxW00
SIMU.TV: Hatimaye Mhe Kassim Majaliwa ala kiapo cha uaminifu na kuahidi kuhifadhi na kulinda katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. https://youtu.be/G_JWuGmfyrw
SIMU.TV: Viongozi mbalimbali wajongea kutoa Mkono wa pongezi Waziri mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
SIMU.TV: Hii ndiyo orodha ya waliowahi kushika wadhifa wa Waziri Mkuu katika Serikali ya Tanzania;https://youtu.be/K0YdS_RB7yQ
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...