Hati miliki ni mali inayohamishika na hivyo inaweza kupotea. Kupotea kwa hati miliki kunaweza kuwa katika mazingira mengi.
Inaweza kupotea katika mazingira ya kuibiwa, kufichwa au kutupwa kwa makusudi kwa malengo mabaya na mazingira mengine yoyote yanayofanana na matukio hayo.
Lakini mara kwa mara kupotea kwa hati huhusishwa na mbinu chafu za kubadilisha umiliki pasipo uhalali au kutumika katika shughuli za kujipatia mikopo pasi na ridhaa ya mwenyewe. Makala yataeleza hatua za haraka za kuchukua iwapo umetokewa na jambo kama hilo. Kusoma zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...