SIMU.TV: Spika bunge la 11 ni Ndugai CCM, Medeye UKAWA. Dr.Tulia alonga, Mashine Muhimbili yaharibika tena; https://youtu.be/fs6B0RAK6dc
SIMU.TV: Mauwaji kigogo CHADEMA, BAVICHA watoa siku 3, wataka polisi iwakamate. Wafukiwa na kifusi siku 41 na kutoka hai; https://youtu.be/JU8pAIl2L8o
SIMU.TV: Malkia amtumia salamu Dr.Magufuli, Kinana awataka wabunge CCM kuchapa kazi. Baba auwa mke na watoto Kilimanjaro; https://youtu.be/-Xa3wRf-31A
SIMU.TV: Taifa Stars kufa na kupona leo, Mkwasa atamba kurudi na ushindi. Bosi mpya YANGA ajaza mambo ya kizungu; https://youtu.be/D2-pVkcrFGU
SIMU.TV: Pata habari za kina zilizotawala katika magazeti ya leo Novemba 17.2015 hapa Simu.tv; https://youtu.be/_drzaWqLQw0
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...