Home
Unlabelled
Ngoma azipendazo ankal: CCM MBELE KWA MBELE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hatunywi sumu hatujinyongi......Naam! hii iIlikuwa ni nyimbo muafaka kabisa na ambayo iliweza kuchangia kwa kiasi kikubwa katika kuzifanikisha kampeni za Chama Cha Mapinduzi, kwani ujumbe wake ni msumari tosha! Mbali ya mdundo mzuri uliowapa nafasi kwa kila rika kujitanafas vilivyo katika kuserebuka kukinadi na kukipigia kampeni Chama tawala. Pongezi za dhat kwa watunzi na washiriki wote katika kufanikisha.
ReplyDeleteBado wanaisoma number, jamani hakuna kura zilizoibiwa!!!!
ReplyDelete