Mkoa wa Kilimanjaro waelezwa kuchomoza kwa mara nyingine kama ngome imara ya upinzani baada ya UKAWA kushinda majimbo 7 kati ya 9.https://youtu.be/x_xWwEKDHWI
Wakazi katika wilaya mbalimbali za mkoa wa Mara wakabiliwa na tatizo kubwa la njaa kutokana kuoza kwa zao la mihogo. https://youtu.be/EWTxc-rpzN8
Wazazi na walezi nchini washauriwa kuto wabagua na watelekeza watoto wenye ulemavu na badala yake kuwalea kwa upendo mkubwa. https://youtu.be/J3ikLbUSJvE
Wavuvi 2 wafariki dunia baada ya boti zao kuzama bahari ya hindi huku chanzo kikielezwa kuwa ni upepo mkali. https://youtu.be/zsxXkd8HQQM
Mzee Pius Msekwa azungumzia sifa stahiki anazotakiwa kuwa nazo Spika wa bunge ajaye katika bunge la 11. https://youtu.be/Z3x5ueyXEHE
Mwandishi wa AZAM TV asimulia jinsi alivyokutana na Dr.Magufuli katika ziara yake ya kushitukiza wizara ya fedha. https://youtu.be/YRCZzairYLI
Raisi Dk.Magufuli avamia wizara ya fedha na kukuta baadhi ya wafanyakazi hawapo kazini; https://youtu.be/8Fkep8cY1fg
Tume ya uchaguzi Tanzania nec imetangaza nafasi za wabunge wa viti maalumu.https://youtu.be/FhbcWfjkGnM
Watu wanne wamefariki kutokana na mafuriko jijini mwanza; http://simu.tv/ukHJ3An
Watu wanne wamefikishwa mahakamani kwa kosa la matumizi mabaya ya mitandao;https://youtu.be/WUnM8iZHMmE
Serikali mkoani Kagera imeakanusha uvumi wa kuibuka kwa ugonjwa wa kipindupindu;https://youtu.be/DR-_8hHHUCA
Mamlaka ya mbunga za wanyama Tanzania TANAPA imehimarisha ulinzi kwa wanyama aina ya tembo kwa kuwafunga kifaa cha kisasa; https://youtu.be/Y7R52IVA3oU
Serikali mkoani Mbeya imeanza kuwasaidia wakulima za wazo la mpunga ili kuhimarisha uzalishaji wa zao hilo; https://youtu.be/flALkeBjIOk
Viongozi mbalimbali wa dini za kiislamu na kikristo wanatarajia kufanya kongamano la maombi ya shukrani kwa kufanikisha uchaguzi wa amani na utulivu.https://youtu.be/CVmrCxVvuF8
Raisi wa awamu ya tano amuapisha mwanasheria mkuu wa serikali baada ya kumteua hapo jana huku naye akizungumza machache. https://youtu.be/g3m7Nd-q7_k
Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza mgawanyo wa viti maalum vya wanawake kwa vyama ambavyo vilikidhi vigezo vilivyowekwa. https://youtu.be/AQKnDKfic0I
Jeshi la polisi Dar es salaam limeendelea kuwahoji watuhumiwa 38 wa kituo cha LHRC kwa tuhuma za kukiuka mashariti waliyopewa na tume ya uchaguzi.https://youtu.be/lAmq1IZroEA
Polisi nchini yapiga marufuku mikutano na maandamano yote ya kisiasa nchini kwa kile ilichodai ni viashiria vya uvunjifu wa amani. https://youtu.be/9iXynTcIEXQ


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...