Hati kwa maana ya hapa ni hati za nyumba na viwanja, kwa ufupi ni hati za ardhi. Kwakuwa hati ni karatasi sawa na karatasi nyingine basi huweza kuharibka au kuchakaa.
Huweza kuchakaa kwasababu mbalimbali za kibinadamu Inaweza kunyeshewa na mvua au kumwagikiwa na maji kwa namna yoyote ile, inaweza kuungua moto na wakati mwingine inaweza kuharibika kutokana na majanga ya ajali za barabarani n.k.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...