Home
Unlabelled
ONLY IN TANZANIA: RAIS MAGUFULI AKIWA NA MARAIS WASTAAFU BUNGENI DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
absolutely amazing photo for our beloved president god blesses our president to live longer god bless tanzania.
ReplyDeletewow absolutely amazing photo view for our presidents god blesses our president to live longer and god bless tanzania
ReplyDeleteMUNGU IBARIKI TANZANIA YANGU
ReplyDeleteRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Joseph Magufuli(wa pili kutoka kushoto)akiwa na Marais wastaafu,wa kwanza kutoka kulia(aliyenyoosha kidole) ni Aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu,Mhe Benjamin William Mkapa,wa pili ni Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete na wa mwisho ni Al Haji Ali Hassan Mwinyi aliyekuwa Rais wa awamu ya pili kwa pamoja wakifurahia jambo kutoka kwa Mhe.Benjamin William Mkapa nje ya Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
ReplyDeleteRais Mstaafu wa awamu ya tatu nchini Tanzania, Benjamini William Mkapa akiwaeleza marais wastaafu, Dk Jakaya Mrisho Kikwete wa awamu ya nne, Ali Hassan Mwinyi wa awamu ya pili namna Rais Dk. John Pombe Magufuli alivyotoa hotuba kali kwa umma wa Watanzania.
ReplyDeleteNi picha yakuheshimika na inayovutia pia ni mfano wa kuigwa kwa watu wote na mataifa yote! Tunayaona kwa wenzetu hata kukaa hivyo na kuheshimiana huko hakupo. Juu juu juu zaidi Tanzania. Mungu libariki Taifa letu na watu wake wooote!
ReplyDeleteRais mstaafu awamu ya tatu B.W. Mkapa akitete jambo na mh. J.M.Kikwete rais mstaafu awamu ya nne huku rais wa awamu ya tano na rais mstaafu awamu ya pili mzee ruksa wakifurahia bungeni Dodoma jana.
ReplyDeleteTaswira Katika pich ya maraisi wetu wastaafu na raisi wetu mpya inavutia a inamafunzo ndani yake kwanza hawa wanaonekana kuwa ni watoto wa familia moja inayoitwa Tanzania wanadhihirisha na kuwakirisha heshima amani upendo na mshikamano tulio nao watanzania na hasa kwa tendo la kubadilisha uongozi wa nchi tukiwa na furaha na matumaini katka kira awamu ya utawara, ni funzo kwa majilani zetu ndani ya africa na tumewakanusha wageni nje ya Africa wenye mtazamo hasi kuhusu Africa. Picha hii ni urithi mzuri wa kihistoria kwa vizazi vijavyo ndani ya nchi yetu Ya Tanzania, Napenda kumpongeza mpigaji wa picha hii kwa ubunifu na wepesi wa kudaka matukio na pongezi zaidi kwa Miliki wa Blog hii. wenu Tumaini - Emailtumainilusenga@gmail.com
ReplyDeleteEndelea kusikiliza ushauri wa baba (JK), babu (BM) na baba mkuu (AHM), hapo ndiyo utapata mafanikio.
ReplyDeleteRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (wa pili kushoto), akifurahi jambo pamoja na Marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wa awamu ya pili Mhe. Ally Hassani Mwinyi (wa kwanza kushoto), wa awamu ya Tatu Mhe. Benjamin Willium Mkapa (wa kwanza kulia) na wa awamu ya nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kutoka kulia) mara baada ya kumaliza kulihutubia na kufungua Bunge la kumi na moja (11) mjini Dodoma tarehe 20/11/2015
ReplyDeleteTunamshukuru Mungu sana kwa nchi yetu kuwana Amani kuliko nchi yoyote Duniani huwezi ukawakuta Maraisi popote duniani wamekaa pamoja na kufurahi na mwenzao aliyechukua nchi kama uwaonavyo hawa maraisi wetu kweli hii ni TUNU MUNGU Ibariki Tanzania AMINA KUBWA Tunawashukuru kwa moyo wao was kumuenzi BABA WA TAIFA MWL J. K NYERERE
ReplyDeleteTunamshukuru Mungu sana kwa nchi yetu kuwana Amani kuliko nchi yoyote Duniani huwezi ukawakuta Maraisi popote duniani wamekaa pamoja na kufurahi na mwenzao aliyechukua nchi kama uwaonavyo hawa maraisi wetu kweli hii ni TUNU MUNGU Ibariki Tanzania AMINA KUBWA Tunawashukuru kwa moyo wao was kumuenzi BABA WA TAIFA MWL J. K NYERERE
ReplyDeleteKijana umetisha sana, unajuwa umeuwa kila kitu..kweli we kiboko yao.
ReplyDeleteRais Mstaafu wa awamu ya tatu-Mzee Mkapa anamwambia Rais wa mstaafu wa awamu ya pili-Mzee Mwinyi:
ReplyDelete"Mzee hapa sasa shamba limepata mkulima,huyu bwana ni jembe hasa!!
Huku akimnyooshea kidole Rais Dkt John Magufuli.
Na wote wanafurahia kwa pamoja.
Mbona Rais aliyepita kainama na kashikilia kitu
ReplyDeleteFuraha ni heri za Mwenyenzi Mungu.
ReplyDeleteMADE IN TANZANIA
ReplyDeleteMagogoni hapana mchezo, ukiingia una nywele ukibahatika kutoka na nywele huwa Ni mvi la sivyo unatoka na kipara! Jakaya wewe mtizame Mzee Mwinyi, na wewe John jiandae utakuwa kama mimi!
ReplyDelete"yaani we pombe!kuwambia watu kuwa watumishi wanakwenda ulaya kuliko kwenda kuwasalimia mamazao maana yake nn? umeshaanza utani sisi ndio tulikuweka hapo! au umeshaanza kutubadilikia! oohoo angalia sana dogo!-Benjamin Mkapa
ReplyDeleteAma kweli nimeamini, wewe bulldozer na kiboko ya wapinzani
ReplyDeleteWatanzania walipewa Rukhsa, Wakashauriwa Mtaji wa Masikini ni Nguvu zake Mwenyewe, Wakahidiwa Maisha Mema kwa Kila Mtu lakini wewe kiboko hakuna ahadi bali Hapa Kazi Tu! Na asiyefanya kazi asile. Imefika wakati waambiwe ukweli wala si ahadi za ndoto kila mtu binafsi lazima afanye kazi kwa bidii kwa ajili ya kujikwambua kutoka lindi la umasikini.
ReplyDeleteFour men that are trying!! and trying hard to lead us to the Promised Land called Tanzania. A democratic land without classes, poverty,.....
ReplyDeleteGod bless them and let the JK Nyerere studies guide them.
"Ni kazi tu"
Nilisema, wengine ni malofa!
ReplyDelete"Nadhani hotuba yako imeweka mwongozo mzuri, sasa watu wafanye kazi...sasa kazi tu hahahahaha".
ReplyDeleteshule ya Demokrasia ya kweli Afrika!.
ReplyDeleteSame O" Same O"
ReplyDeletehere work only?
ReplyDeleteTanzania yetu,Nchi yetu,Marais wetu,Umoja wetu,Upendo wetu,Amani yetu
ReplyDeleteMh.kikwete anamuambia Mh.Mkapa mbona umevaa suti kali ya blue wewe na Mh.Mwinyi? naye Mh.Mkapa anasema muulize Mh.Magufuli ndie alieniambia tuvae suti za blue wakati sote tulitakiwa tuvae suti nyeusi,Mh. Magufuli kanipata leo na wote wakaangua kucheka
ReplyDeleteHaya ni maneno yangu binafsi tu lakini picha ni perfect kabisa
Nchi yenu ni nzuri sana
Mzee mkapa akimtania Dk Magufuli kwamba hakustahili kukaa karibu na mzee Mwinyi ila yeye mzee mkapa ndie aliestahiki kukaa pale huku akitaka kwenda kumuondosha lakini Dk kikwete akimzuia wakati mzee wa ruhusa akitabasamu .
ReplyDeleteMh. Mkapa anaonekana akimwabia Mh. Rais Magufuli, "Sikiliza Magufuli Baba wa Taifa Mwl. Nyerere aliunda na kujenga Taifa, Mh. Mzee Mwinyi akaruhusu Uchumi na soko huria kila kitu kikawa ruksa! Mimi nikajenga uchumi na kukusanya mapato kwa kuanzisha TRA kwa uhuru na uwazi!na Mh. Dr.J.Kikwete akaimarisha miundo mbinu (Infrastructure) kwa kasi sasa wewe wabane mafisadi na punguza matumizi ya serikali na kila mtu afanye kazi! - Boniface M.
ReplyDeleteI LOVE TANZANIA 😀
ReplyDeleteMkapa:bro mwinyi Unajua mdogo wangu hapa(kikwete) uungwana ulikuwa mwingi sana acha John(Magufuli) awanyooshe nidhamu irudi.#HAPA KAZI TU.
ReplyDeleteWote hao ni kutoka Chama kimoja ingekuwa walibadilishana kutoka Vyama tofauti wangestahili Hongera yangu lkn ni kama wanarithishana kiti. Hakuna cha Ajabu hapo.
ReplyDeleteHII INATOKEA TANZANIA TU KISIWA CHA AMANI. HAKUNA KWINGINE AFRICA. MUNGU IBARIKI TANZANIA
ReplyDelete