Kiroba cha karoti ambacho kwa huko shambani kinauzwa kwa shilingi elfu tano tu fedha ambazo inasemekana ni kidogo ikilingamishwa na uzalishaji wa zao hilo
Wakulima mashuhuri wa mbogamboga ikiwemo karoti katika kijiji Ndabwa wilaya ya Lushoto mkoani Tanga, Rehema Shegulio (kushoto) na Hadija Shabani wakiwa wameshikilia karoti zao ambazo ni kubwa mithili ya mihogo. Picha na Vedasto Msungu
Ila waheshimiwa, mbona karate zenyewe kiwango duni?
ReplyDeleteNa si karoti zetu tu, ukenda masokoni bidhaa zetu nyingi hazina mvuto wala kiwango.
Tutawezaje kushawishi bei kubwa ilhali viwango haba?
@Madrasatun, nakubaliana na wewe kabisa. Carot ukiiacha shambani ikafikia ukubwa wa gimbi tayari imepoteza thamani yake. Elimu zaidi inatakiwa kwa wakulima wetu. Hope vile ziara za ng'ambo zimefutwa sasa extension officers watatimiza wajibu wao tofauti na mwanzo walikimbilia safari za nje
ReplyDelete