Simu.tv: Magufuli aduwaza hazina. NEC yatangaza wabunge viti maalum. Pata dondoo za magazeti ya siku ya leo; https://youtu.be/qvg-GM-LaMU
Simu.tv: Simba yampa Mavugo Shillingi mil 100, Mkwasa asema wachezaji wengi Taifa Stars hawapo fiti. Ni katika magazeti ya michezo ya leo; https://youtu.be/h1CW0OGebso
Simu.tv: Raisi Magufuli Atisha afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha, Ifahamu orodha ya Wabunge wa Bunge Lijalo.Pata dondoo za Magazeti.https://youtu.be/cBTB45MM1c0
Simu.tv: NEC Yatangaza wabunge 110 wa Viti maalumu, Regina Lowassa aikatalia CHADEMA nafasi ya ubunge Viti Maalumu. Pata Dondoo hizi.https://youtu.be/jAOnxdavtHs
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...