Paa la Jengo maarufu la kihistoria lililoko katika kisiwa cha unguja limeanguka kufuatia upepo mkali uliambatana na mvua. https://youtu.be/GXt-cU1M6Hk
Utendaji wa serikali ya awamu ya tano waelezwa kuenda na kasi ya kauli mbiu yake ya kazi yake kwa kuwakumbusha watumishi wajibu wao. https://youtu.be/-hPUVIVkuZ8
Kufuatia Raisi Magufuli kutoa ahaidi ya kutoa elimu bure,mchambuzi na mtafiti wa masuala elimu nchini atoa maoni yake. https://youtu.be/xtBPtrzCVfY
CUF Pangani watishia kurudisha kadi za chama hicho endapo uongozi wa chama hicho hautomrudisha mshindi wa vitimaalum aliyeshinda. https://youtu.be/0CJ9y3Rj91w
Baraza la vijana la chadema mkoani Rukwa lashangazwa na kujiuzuru kwa uongozi wa mkoa wa chama hicho kufuatia uteuzi wa mbunge viti maalum asiyekuwa chaguo lao.https://youtu.be/xn5cJraBh2o
Chama cha Mapinduzi mkoani Lindi kimekata rufaa kupinga matokeo ya ubunge katika majimbo ya Kilwa kaskazini na Liwale kufuatia mapungufu ya uchaguzi. https://youtu.be/ymdVwB5GYdo
Wazazi, walezi nchini wametakiwa kuandaa mazingira mazuri kwa watoto wao ili wapende kusoma masomo ya sayansi; https://youtu.be/JtJe_41OX18
Mfumuko wa bei wa vyakula umetajwa kuanza kupungua bei jijini Dar es Salaam;https://youtu.be/nYWFicradwY
Mtu mmoja amebainika kuwa na dalili za ugonjwa wa kipindupindu wilayani Moshi na kuzua taharuki kwa wakazi wa eneo hilo; https://youtu.be/SMWQd9MLaaI
Watu wawili wamefariki na 37 wamelazwa kutokana na kipindupindu mkoani Geitah;https://youtu.be/9bepz1QZxNE
Wafanyabiashara Dodoma waituhumu manispaa ya Dodoma kwa kushindwa kusimamia usafi; https://youtu.be/o55zpVj83_E
Serikali ya Tanzania imeshauriwa kuwekeza zaidi katika sayansi ili kupunguza athali mbalimbali kama vile za mvua, upepo; https://youtu.be/udy5Hjj5YG4
Wanaharakati na watetezi wa haki za wanawake nchini wamemuomba raisi Dk.Magufuli kuteua viongozi wanawake wengi ndani ya serikali yake;https://youtu.be/ssT6CBvitEw
Baada ya kuzuka mgogoro wa makazi jijini Arusha, Mzee Juma Isangu aiomba serikali kuingilia kati na kutoa utatuzi; https://youtu.be/XpJisbn5yJc
Mamlaka ya hali ya hewa imewataka wananchi kuchukua tahadhali dhidi ya mvua za elnino; https://youtu.be/h5QamDiBCxs
Raisi msitaafu,Dk.Kikwete amewapa somo wachezaji wa Taifa Stars kuelekea mchezo wao dhidi ya Algeria jumamosi hii; https://youtu.be/FF43HRU-Jvw
Raisi wa shirikisho la mpira wa miguu la Ujerumani, bwana Wolfgang Niersbach abwaga manyanga; https://youtu.be/jZfEb7mYRdA
bosi siku zile alisema wameenda kunywa chai. Sasa hapo mmoja hasemi ukweli
ReplyDeleteKitaeleweka tuu...kwenye chai au jengo la pili.....lakini nadhani ilikuwa guest for break....hongera mr president keep going nakuaminia unajua machungu ya nchi umetoka mbali saaana mwalimu wangu ....wengine walikuwa wakienda ulaya kuangalia mpira tuu...
ReplyDelete