Paa la Jengo maarufu la kihistoria lililoko katika kisiwa cha unguja limeanguka kufuatia upepo mkali uliambatana na mvua.  https://youtu.be/GXt-cU1M6Hk

Utendaji wa serikali ya awamu ya tano waelezwa kuenda na kasi ya kauli mbiu yake ya kazi yake kwa kuwakumbusha watumishi wajibu wao. https://youtu.be/-hPUVIVkuZ8

Kufuatia Raisi Magufuli kutoa ahaidi ya kutoa elimu bure,mchambuzi na mtafiti wa masuala elimu nchini atoa maoni yake. https://youtu.be/xtBPtrzCVfY

CUF Pangani watishia kurudisha kadi za chama hicho endapo uongozi wa chama hicho hautomrudisha mshindi wa vitimaalum aliyeshinda. https://youtu.be/0CJ9y3Rj91w

Baraza la vijana la chadema mkoani Rukwa lashangazwa na kujiuzuru kwa uongozi wa mkoa wa chama hicho kufuatia uteuzi wa mbunge viti maalum asiyekuwa chaguo lao.https://youtu.be/xn5cJraBh2o
Chama cha Mapinduzi mkoani Lindi kimekata rufaa kupinga matokeo ya ubunge katika majimbo ya Kilwa kaskazini na Liwale kufuatia mapungufu ya uchaguzi. https://youtu.be/ymdVwB5GYdo

Wazazi, walezi nchini wametakiwa kuandaa mazingira mazuri kwa watoto wao ili wapende kusoma masomo ya sayansi; https://youtu.be/JtJe_41OX18

Mfumuko wa bei wa vyakula umetajwa kuanza kupungua bei jijini Dar es Salaam;https://youtu.be/nYWFicradwY

Mtu mmoja amebainika kuwa na dalili za ugonjwa wa kipindupindu wilayani Moshi na kuzua taharuki kwa wakazi wa eneo hilo; https://youtu.be/SMWQd9MLaaI

Watu wawili wamefariki na 37 wamelazwa kutokana na kipindupindu mkoani Geitah;https://youtu.be/9bepz1QZxNE

Wafanyabiashara Dodoma waituhumu manispaa ya Dodoma kwa kushindwa kusimamia usafi; https://youtu.be/o55zpVj83_E

Serikali  ya Tanzania imeshauriwa kuwekeza zaidi katika sayansi ili kupunguza athali mbalimbali kama vile za mvua, upepo; https://youtu.be/udy5Hjj5YG4

Wanaharakati na watetezi wa haki za wanawake nchini wamemuomba raisi Dk.Magufuli kuteua viongozi wanawake wengi ndani ya serikali yake;https://youtu.be/ssT6CBvitEw

Baada ya kuzuka mgogoro wa makazi  jijini Arusha, Mzee Juma Isangu aiomba serikali kuingilia kati na kutoa utatuzi; https://youtu.be/XpJisbn5yJc

Mamlaka ya hali ya hewa imewataka wananchi  kuchukua tahadhali dhidi  ya mvua za elnino; https://youtu.be/h5QamDiBCxs

Raisi msitaafu,Dk.Kikwete amewapa somo wachezaji wa Taifa Stars kuelekea mchezo wao dhidi ya Algeria jumamosi hii; https://youtu.be/FF43HRU-Jvw

Raisi wa shirikisho la mpira wa miguu la Ujerumani, bwana Wolfgang Niersbach  abwaga manyanga; https://youtu.be/jZfEb7mYRdA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. bosi siku zile alisema wameenda kunywa chai. Sasa hapo mmoja hasemi ukweli

    ReplyDelete
  2. Kitaeleweka tuu...kwenye chai au jengo la pili.....lakini nadhani ilikuwa guest for break....hongera mr president keep going nakuaminia unajua machungu ya nchi umetoka mbali saaana mwalimu wangu ....wengine walikuwa wakienda ulaya kuangalia mpira tuu...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...