UNIVERSAL
AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Marekani watauza kwa
mnada wa hadhara fanicha za ofisi na nyumbani
tarehe 14 November, 2015 Jumamosi saa 4:00 asubuhi. Mnada utafanyika
Golden Resort Sinza, Lion Street.
MALI ZITAKAZOUZWA: Sofa sets, Chest drawer, China base, Hatch,
Dressers, Coffee table, Book case, Dining table/chairs, Party folding table
/chairs, Carpet, Hoover, Vitanda, Magodoro, Fridge, Freezer, Majiko, TV set,
Washer, Dryer, Gym equipment: Nautilus lower back m/c na vingine
vingi
Mali zote zinaweza kukaguliwa Golden Resort Sinza,Lion Street tarehe 11 mpaka
13 November, 2015 kuanzia saa 4.00
asubuhi mpaka saa 11.00 jioni.
MASHARTI YA MNADA:
- Mnunuzi atatakiwa
kulipa malipo yote pale pale kwa keshia (cashier).
Mali zote
zitauzwa kama zilivyo bila dhamana.
- Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru na kodi zingine zote.
- Mali zote zilizouzwa zitatakiwa kuondolewa baada ya kulipa malipo yote pamoja na kodi.
Kwa maelezo
zaidi waone:
UNIVERSAL AUCTION CENTRE
PLOT NO. 5 “E” LION STREET SINZA
CELL NO: 0754 284 926, 0757 284 926 E-mail:
universalauction@hotmail.com
DAR ES SALAAM.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...