SIMU.TV: Katibu mkuu wa Chama cha Madereva yaendayo mikoani Rashid Saleh amefariki dunia kwa kusadikika Kula chakula chenye Sumu.https://youtu.be/fh_
SIMU.TV: Watoto zaidi ya 40 wenye ugonjwa wa mdomo sungura kufanyiwa upasuaji baada ya kupata ufadhili wa kampuni ya Geita Gold mine;https://youtu.be/2IMVZvEzd4c
SIMU.TV: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita amesema hatasita kuwafukuza kazi watumishi wanaokataa kwenda kufanya kazi vijijini; https://youtu.be/wuyLttIDxlM
SIMU.TV: Mmoja wa Walionusurika katika Migodi ya Tanzanite arusha amefariki dunia jana baada ya kupata matatizo ya Pumzi. https://youtu.be/sleJYIPTtAE
SIMU.TV: Chama cha Wachimbaji wadogo wa Madini Ya Tanzanite kimepinga tamko la Kamishna wa Madini Juu ya Utaratibu mpya wa Uchimbaji.https://youtu.be/ qXN08oQN0mU
SIMU.TV: Kanisa la Anglikana limesema liko tayari kuungana na Serikali ya awamu ya 5 kutokana na mwelekeo mzuri aliyoonesha Rais Magufuli. https://youtu.be/SzRA7cG6RHA
SIMU.TV: Mwakilishi Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema usimamizi wa miradi ya maendeleo inahitaji taaluma ili kufikia malengo ya milenia.https://youtu.be/nDl0Z0uajxw
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...